Imetumika Nje
Description
Mercedes-Benz C200 ya kuvutiaโnjoo uikague na kuinunua kwa milioni 27.9 pekee! ๐๐
Gari hili liko katika hali nzuri sana.
Mwaka: 2010
Injini: 1760cc
Bei: Milioni 27.9 (gharama ya usajili imejumuishwa).
Specifications
- Year 2010
- Mileage 0 km
- Fuel Type Petrol
- Transmission Automatic
- Color Nyeusi
Features
- Viti vya ngozi